Pichani mfanyabiashara ndogondogo akiwa amejibanza chini ya baiskeli yake ya biashara kwa kuhofia asilowane na maji ya mvua.Angekuwa mwingine sijui angekuwa na akili kama ya huyu jamaa?Hongera zake kwa kuukamilisha msemo wa KIMFAACHO MTU CHAKE!!