Chelsea wangejua ya mbele yao wasingeingiza timu uwanjani.Kivumbi kilichowakuta leo katika uwanja wa Emarates hawakuweza kuamini macho yao.