Baadhi ya ndege uwanjani hapo zimeanza safari zake kama kawaida ila kuna baadhi zingine zimeendelea kusitisha safari zake.Kwa abiria wanaotaka kufanya safari zao kwa kutumia uwanja wa ndege huu hii ndio habari kutoka idara ya hali ya hewa uwanjani hapo.