Wanafunzi wa shule ya msingi Hoza wilayani Mvomero mkoani Morogoro wakicheza ngoma ya Sero na baba yao mzazi kumkaribisha mbuge wao Amos Makalla alipofanya ziara mkoani humo.