Ewe Diwani,Mbunge na waziri wangu hii sio kazi ya Raisi kuja kila mahala na kusisitiza mambo kama haya jamani,Raisi alishafanya kazi ya kuja kukutangaza wewe kwenye jimbo lako na ukashinda,sasa kwanini na wewe usitimize ahadi zako?kumbuka na wewe bila Elimu usingekuwepo hapo ulipo.