Baiskeli ya bidada haina 2WD basi ilikuwa mtihani mkubwa sana kwake kuiendesha,mpaka alipokwenda chini kama pichani anavyoonekana.Mzee wa Blog ilibidi nimpatie msaada wa haraka kwani ilikuwa baridi sana na alihitaji msaada wa haraka,hata hivyo hakupata majeraha yoyote na safari iliendelea mpaka mwisho.Hapa ni kijijini kwangu hali ya baridi jana ilivyokuwa.