Hali ya baridi inayoendelea hivi sasa hapa Nzega(ulaya) inawafanya watu kutokwenda makazini kwa kuhofia afya zao na magonjwa ya homa nyepesinyepesi na flu zisizokwisha.Hapa nilikuwa mmoja wa abiria wachache tuliokuwemo safarini,viti vyoote vilikuwa vyeupee basi linalochukua abiria zaidi ya 90 tulikuwa abiria sita tu.