Jamani duniani kuna mambo,haya muoneni huyu bwana mkubwa hapa na hii staili ya ndefu zake.Mdomo umefunikwa na ukitaka majibu ya ajabu muulize juu ya mdomo wake.