Chanjo mpya ya kuzuwia homa ya mapafu ya pneumonia, imezinduliwa kwenye sherehe inayofanywa Nicaragua.Chanjo hiyo itakuwa rahisi kushinda inavouzwa katika nchi tajiri, kwa sababu itagharimiwa na mataifa kadha, pamoja na Uingereza.

Mwakani, chanjo hiyo itaanza kutumiwa katika nchi nyingine 40 pamoja na Honduras, Kenya na Sierra Leone. kwa habari zaidi.....