nashukru sana kwa kila mwandishi aliehudhuria katika press conference yangu leo pale KEMPISK HOTEL..ningependa mtambue kwamba ninyi ni watu muhim sana kwangu, kwani mna mchango mkubwa sana kwa hadi hapa nilipo na kufikia kuandika ujumbe huu.... nawapenda sana 

tafadhari naomba uendelee kunipigia kura na sim ya mkononi... kwa kuandika neno BNA DIAMOND na kutuma kwenda namba 6262.