Moja ya hekaheka uwanja mpya,ambapo Somalia alikula goli zake tatu bila hata huruma toka kwa vijana wa Taifa Stars.