Angali vizuri hivyo vibao juu ya milango ya choo,Unaweza kuona kuna choo cha kiume,choo cha kike na mwisho kwa mbali kuna choo cha walemavu,je nyumbani katika ujenzi wa kisasa unaendelea hivi sasa kuna anayekumbuka suala la walemavu kuwa wanapaswa kuwekewa vyoo vyao maalumu?utakuta majengo mazurii na ya kuvutia hayana vyoo vya walemavu hayana sehemu maalumu za kupitia walemavu,sasa sijui wanapojenga huwa wanawaza nini na kusahau watu muhimu kama hao!