Maoni yangu jamani,kwa hawa wafanyabiashara wenye Maguta,Askari wa Barabarani sio Lazima wakamate Magari,hata wabeba Mizigo kama hawa lazima wakamatwe kwani wanaweza kuleta maafa makubwa endapo wataendelewa kufumbiwa macho.Ebu jionee pichani huo mzigo alioshehena huyu mwenye Guta,je kama hilo gari la nyuma lingekuwa mwendo kasi?