Hivi sasa amekuwa akijulikana kwa sababu ya hii nyimbo yake ya (Take you Out) ni kijana wa mitaa ya Upanga Bongo Dar-es-Salaam.Hivi sasa yupo kulee Tabora(Marekani)kwa Wanyamwezi mwenzake akiendeleza shughuli zake za sanaa ya muziki.Cheki video yake hii ambayo inampa shavu hivi sasa na video ya hapo chini akishirikishwa na Cazperino na nyimbo yao ya Sunshine.Maganga One Blog inampa hongera sana kwa kuipeperusha vyema bendera.