Aisee huyu Mzee Mc Cain amuogopi raisi?Sasa akigeuka na kumzaba makofi atakwenda kumshitaki wapi?Haya hii kule nyumbani Nzega tunasema hivi ni vijimambo tu.