Kwa wenzetu kuvaa kama hivii ni sawa tu! Ila kuna ka mchezo kanakojitokeza kwa kasi sana nchini kwetu ka kuvaa vijiguo vifupii majiani,hivii jamani huu ustaarabu kwanini tunauvunja?hatujui hii ni moja ya vivutio vya zinaa?dada zetu tafadhalini jiheshimuni ili muheshimike.Ukiitwa Mala....y utasema unatukamwa?