Juu ya hali ya mambo ya ufisadi nchini Kenya ukweli wa mambo wanayajua Wakenya.Blog inawaombea jirani zetu Amani na nchi yao iendelea vizuri bila migongano ya hapa na pale,Tunaamini kwa Kenya kila kitu kinawezekana yaani AMANI,UPENDO,USHIRIKIANO NA MAENDELEO kwa nchi yao.Kila la heri Jirani zetu.(video by Bbc).