Moja kati ya haya madaraja endapo Serikali yetu ikiweka dhamira ya ukweli na kudhibiti mamlaka zote za mapato ipasavyo,ni uhakika usiopongika hili daraja mpaka 2015 litkuwa limeshakamilika na linatumika.Eee Mungu wajaalie viongozi wetu na wananchi wake wazinduke na kupambana na rushwa iliyokithiri nchini ili kuleta maendeleo ya kila mwananchi.Hali ya nchi yangu bado ni kitendawili.