Siku zote uwanjani mashabiki na wapenzi huwa wanasaidia sana kupatikana kwa ushindi.Mtiti huu ulikuwa jana Uwanja mpya pale Taifa Stars ilipokuwa ikiifundisha vita vya uwanjani Somalia baada ya kuilipua mabomu 3-0 timu hiyo toka pande za Mogadishu.