Mkurungezi wa Benchmark Production Madam Ritta ametangaza kesho ndio Fainali za kumtafuta mshindi mwenye kipaji cha kuimba( Bongo Star Seach).Pichani  hii ndio hundi ya shilllingi milioni thelathini ambayo kesho atapatiwa mshindi wa Bongo Star Seach.