Najishauri nitoke au vipi?maana nikicheki kwa dirishani jamaa yulee anawahi kazini na mimi nahitajika kutoka jamani duuh huku Nzega kazi kwelikweli...