Kijana wetu Moddy Mabastola alamba Gamba la sheria,Pichani akipokea cheti chake na mwalimu wake akifurahia jinsi mwanafunzi wake alivyohitimu vizuri masomo yake.

Moddy akiwa na mwanafunzi mwenzake waliohitimu pamoja shuleni siku hiyo.

Moddy akipata Flash huku wadau wenzake wakimpa tano kwa kazi nzuri ya masomo aliyoifanya.Maganga One Blog inampongeza sana Moddy Mabastola kwa kupokea Gamba,kwani ameonyesha kweli hakuja kucheza kwa kuwa Gamba amelipata.