Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akifikisha ujumbe wake kwa wahusika katika mkutano mkubwa wa nchi mbalimbali duniani juu ya maendeleo ya uchumi wa africa kwa nchi zilizoendelea.Pichani Jakaya kikwete akiwa anatoa hotuba hiyo jijini Brussel nchini Belgium jana.