Ukiwa unajiamini kwa lolote wazungu hawakwambii kitu.kwa kweli ule msemo unaosema chini ya jua hakuna linaloshindikana nakubaliana nao 100 kwa 100,Pichani raisi wa Marekani bwana Barack Obama akiwa katika moja ya mikutano yake.