Kama ujioneavyo pichani hali ya hewa ya hapa Ulaya inaendelea kuwa tata.Watu wanaanza kuugua flu na homa nyepesinyepesi kutokana na hali kuwa baridi sana.