Haya tena mtaa wa kongo jijini Dar es Salaam,wananchi katika maandalizi ya Krismas na mwaka mpya.Blog inawatahadharisha kuwa wananchi inapofika nyakati za mwishoni mwa mwaka watu huwa na purukushani za maandalizi mazuri kwa ajili ya sikukuu zao majumbani,hivyo basi katika kuhemea mahitaji yenu muwe waangalifu sana na vibaka.