Konda hupendelea kumwambia dereva tanua,tanua tuwahi...Inapofika dereva kutanua sana bila hata kuangalia hujikuta katika hali kama hii na kuwapa hofu abiria.Kila kitu kinajieleza hapooo,daladala ya kwenda wapi na kurudi wapi.