Kutokana na Barafu inayoendelea kumwagika hapa ulaya kuna baadhi ya nchi hali ya usafiri ni tata sana.Pichani ni wasafri walioganda zaidi ya siku tatu uwanja wa ndege wa Brussels,shirika la msalaba mwekundu limelazimika kuleta mahema airport.Hali halisi uwanjani hapo jioneeni ni hatari sana.