Kamati Kuu ya CCM (CC) leo inakutana jijini Dar es Salaam kuchuja majina ya wanachama wa chama hicho walioomba kuwania nafasi za umeya na unaibu katika majiji na manispaa nchini.