KLABU ya Yanga ya Dar es Salaam imesema imetumia Sh milioni 24 kusajili wachezaji wawili Mzambia Davies Mwape na Juma Seif wa JKT Ruvu katika dirisha dogo la usajili mwezi uliopita.

Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrance Mwalusako alisema jana kuwa wachezaji hao wote jumla ya gharama zao za usajili ni Sh milioni 24 na wala si zaidi ya hapo kama ambavyo inadaiwa na baadhi ya watu.
Dar es Salaam Young Africa kikosi kinachotisha Tanzania.