Maneno ya kijiweni huwa wanasema "Chege kaingia choo cha kike"Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongoland juzi kati alipata promota feki aliyemlaghai kumpeleka Mombasa kwa ajili ya show.Akieleza kwa huzuni Chege mtoto wa kundi la Tmk,"Sina hamu tena na Mombasa"wamelamba cash money na simu yangu ya thamani kubwa sana(alitaja kiwango cha pesa walizomuibia na aina ya simu yake).Sina hakika kama nitakuja kuigusa tena Mombasa alimalizia Chege.