Wakazi wa ziwa Nyasa mambo mswano,kama ujiioneavyo pichani mambo ya usafiri wa majini burrrdani.Serikali inawajali watu wake,kinachonishangaza mimi ni hiki...Tukiwa hatuna kitu ni malalamiko kila siku kwenye vyombo vya habari,tukipatiwa hatusikiki tukitoa Shukrani kwa serikali kupitia vyombo vyetu vya habari,hivi ni haki jamani?