Hili ni jiji la Nairobi jamani,msije kusema kwamba ni New York hapana..Mji wenye pilika za kila aina na watu wa kila aina,biashara za kila aina na mambo ya kila aina.kazi kwako.