Wapenzi wa Maganga One Blog,kwa mara ya kwanza mmiliki wa Blog hii nimejitoa kwenye Ukurasa Kuwatakia kila la heri katika kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya 2011,Yakiwa yamebaki masaa machache ili tuuage rasmi,mimi na familia yangu tupo njiani kuelekea kwa shemeji ambako nimepata mualiko wa nguvu,hapo katika kubadili behewa hili na kuingia behewa hili ikabidi nifanye mambo ya kustua tumbo kidogo simnajua safari hatua?sasa kama nilivyowaahidi kuwa nitawaletea matukio tofautitofauti kwa jinsi nitakayoyaona hukoo kwa shem,mwaka mpya huu nitakuwa kwa shemeji langu,maana kijijini nako kunapooza sana mwaka mpya.Tutakiane kila la heri waungwana.