Katika pitapita zangu mitaani jamani niliingia duka moja la watu toka pande za Afrika na kukutana na hizi bidhaa muzionazo,sikuacha hata kimoja ilibidi pochi langu liishie hapo jamani.Mmmh kumbe hata huku kila kitu kipo?kazi kwelikweli.