Jamani kwa baridi hii na barafu hii hapa kazini kunaendeka kweli?Flashii hii nimeimwetua jana usiku je asubuhii hii panaendeka kazini kweli au barafu imeongezeka?Hapa ni kijijini kwangu Nzeeegaaa karibuni sana tutatikwe wote na baridi.