Ebu kaone hako kabinti ka Obama,yani hata kama kamesinzia ila bado kana raha.Mgeukie bwana Obama mwenyewe yani kumuangalia mkewe tu nae anaona raha,Je wewe na mkeo mna raha kama hizi?Ukiachilia wadhifa alionao bwana Obama bado huwa anaonyesha mapenzi kwa mkewe,swali langu wewe je au una karaha?