Pichani raisi Jakaya Kikwete akizikagua fedha mpya ambazo zitaanza kutumika mwanzoni mwa mwaka ujao.Matapeli wa kutengeneza pesa za bandia mkae mkao wa kula kwani Serikali haitawafumbia macho na wala Serikali haijalala.