Raisi Jakaya Kikwete amesamehe baadhi ya wafungwa walitumikia kifungo kwa muda mrefu.Baadhi ya wafungwa hao walioachiwa huru ni wale wenye magonjwa kama Ukimwi,Kifua Kikuu na wale wenye maradhi Sugu,ila wafungwa wenye makosa ya Ufisadi hawakuachiwa huru,na hata wale walioharibu miundo mbinu bado raisi hakuweza kuwapa msamaha huo.Wala Rushwa waliothibitishwa hawakuachiwa huru,wale waliokatiza watoto wa watu masomo kwa kuwapa mimba pia hawakuachiwa huru.