Kiama ni cha kusikia jamani,nina Imani kubwa kama nilivyofundishwa kuwa hiyo siku hakuna atakaekumbuka hata mtoto wake wa kumzaa mwenyewe kwa jinsi itakavyokuwa.Pichani ni Tsunami na hii ni mfano tu mdogo wa Kiama(samahani waungwana kama  nitakuwa nimeteleza) Je hiyo siku ya kiama Ardhi itakavyomezwa na wimbi zaidi ya hili tutakuwa katika hali gani?Tufanye sana Ibada jamani.