Ndiyoo watu wa kipato kidogo lazima tukale kwa maama Ntilie,ila je hali ya mazingira kama haya jamaniiii!!! Ukiugua kipindupindu utasema mama ntilie au akili yako mbaya?Anagalieni jamani magonjwa kukuingia ndani ya mwili ni dakika moja tu ila kutoka inaweza kuchukua hata mwaka mmoja na kukugharimu milioni moja.