Kwa madereva  wa hapa kijijini kwetu wamepewa tahadhari ya kuwa makini katika uendeshaji wa magari yao kutokana na hali ya barafu kuendelea kuanguka jana usiku.