Kiukweli hali kama hii inaumiza kichwa sana tena sana.Sijui kama wahusika wanajali suala kama hili.Watu kama hawa kwanza kiafya wapo hatarini sana,pili kiusalama kadhalika pia wapo hatarini,kwani endapo nyumba itachukuliwa na maji ujue mauti yamewafika.