Vijana wenye vipaji wa THT walikuwa mjini Mbeya katika kusheherehesha sikukuu ya Kristmas,Pichani wakiwaburudisha wananchi wa mjini hapo.