Pichani mdada huyu ukimuangalia kwa makini unamuona jinsi alivyo na afya nzuri,na mgongoni mtoto wake kadhalika ni mwenye afya nzuri tu,na hayo maji aliyoyateka hapo chini nyuma yake ndiyo aliyokuwa akiyatumia tokea akiwa mdogo,je suala hili juu ya maisha bora kwa kila Mtanzania linachukuliwaje?hivi ni misemo tu au....