Utavuta Sigara kama kawaida ila kipisi cha sigara hifadhi humu ukimaliza kuvuta,na sio kujitupia tu njiani na kuchafua mazingira.Hii nayo inatushinda jamani?Mkuu wa mkoa,mkuu wa Wilaya,Diwani,Mbunge,Mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa hii jamani inahitaji kuleta wazungu waje kutufundisha?