Wakati juzi Machester United inalazimishwa sare ya bao 1-1 na Valencia,Ac Milan imeadhibiwa bila huruma 2-0 na Ajax Amsterdam,Huku Vijana wa Chelsea wakikon'gotwa goli 1-0 na Marseille ya Ufaransa.