Kosa lao kubwa kunywa maji ya sisiemu,walipopewa maji baada ya kiu nao wakanywa Aaah lilikuwa kosa kubwa,maana mtu bila kujielewa akawa anatia tiki kwenye sisiemu.Sisiemu Nomaa,yani wamewapa Chadema za mbavu na kujikuta hoi Muhimbili,Bugando na KCMC.Hongera ccm mlijiandaa vya kutosha.