Angalia picha ya juu na ya chini,je unaweza kutofautisha matunzo ya majeno hayo?Hivi ni vituo vya treni ambavyo kituo cha juu kimejengwa miaka 80 iliyopita na kituo cha chini cha mwanza hakina hata miaka 50 ila uchakavu wake mmh kwa kweli inasikitisha sana,Hivi hali kama hii tuilaumu serikali au wananchi?