Maraisi wote walikuwa wazuri,ila kila mtu ana sifa zake,mimi mzee wa blog sisubiri mtu afe ndio nimmwagie sifa zake,Kikwete ni raisi anaejali sana watu wenye matatizo na huwa anawasaidia sana,kama media zingekuwa zinaorodhesha mangapi mazuri ya Jk basi magazeti yangekuwa yanajaa kila siku.Hongera sana raisi wangu,kuilinda amani ya nchi yangu kwangu ni msaada tosha sana wala sihitaji makuu.